Wapendwa wateja wetu tunawashukuru sana kwa kuendelea kusubiri kutokana na kuwepo kwa hitilafu katika mfumo wetu wa usajili kwa njia ya mtandao ,tuwajuulishwa kuwa wataalam wetu wap wapo mbioni kutatua tatizo hili.
kwa sasa tunaendelea kufanya uajili kwa njia ya kawaida hapa ofsisini kwetu pemba na unguja.
Ahsanteni.