Zanzibar Business and Property Registration Agency - Firm Registration Company Registation Documents Registration IP Registration Probate Administration

Wapendwa wateja wetu tunawashukuru sana kwa kuendelea kusubiri kutokana  na kuwepo kwa hitilafu katika mfumo wetu wa usajili kwa njia ya mtandao ,tuwajuulishwa kuwa wataalam wetu wap wapo mbioni kutatua tatizo hili.

kwa sasa tunaendelea kufanya uajili kwa njia ya kawaida  hapa ofsisini kwetu pemba na unguja.

Ahsanteni.

Tags :
    Share :